Kibonzo cha Feisal kwenye kusaini mkataba na Azam

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Feisal: Nisaini wapi?

Boss: Hapa! Saini hapa!

Feisal: Hapa walipoandika 50,000$ per month? Yaani nisaini mkataba wa mwezi mmoja tu?

Boss: We Fei, Saini hapa chini. Hiyo 50,000$ ndo mshahara wako Kwa mwezi

Feisal: (Kwa ukali) yaani mnanisainisha mkataba wa elfu hamsini Kwa mwezi? Si bora nikaendelee kula ugali na sukari JANGWANI

Boss: (akiwa ameduwaa) hiyo 50,000 ni dollar za kimarekani

Feisal: Kwani mnanipeleka Marekani au chamazi!! Mbona mnaniletea umafia Tena

Boss: (kimoyomoyo) Huyu kabla hajaanza kucheza itabidi apelekwe English course kwanza

 
Dola 50000 ni zaidi ya milioni 100
Hakuna timu bongo ya kumlipa mchezaji milioni 100 kwa mwezi
All in all ni kibonzo
 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…