Kibonzo cha Kipanya: Baada ya msiba kuna ambao wanaibuka na kufungua midomo?

Job ndugai huyo....anachekaga chekaga km .....au Basi tu asije kunipiga bure maana yule mmmh
 
Na yule bi dada kule anaweza kuwa nani?
 
Kweli mambo hayakua shwari bali watu walizimwa midomo nakubebeshwa mizigo mikubwa isiyowahusu uku wengine Kama Lissu wakiponea kifo..........yuko wapi sasa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]washenzzz wale vijana sio wa kushindana nao kabisa...wana maneno makali hata risasi haioni ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚njiwa hawatagi na kile banda kule porini vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…