Kibonzo cha Kipanya; hali halisi ilivyo

Huyu jamaa kitambo namsomaga kama naanza kumuelewa hivi...
 
Hivi wale waandishi wa hadithi za Ujasusi hawawezi kutusaidia katika hili?
Au uwezo wao ni kusimulia tu.
 
Yaani Kobe katoka nje kaacha gamba lake,na akikaa bila gamba linalomlinda ataungua na jua itampelekea hali mbaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…