Kibonzo cha Kipanya; mti umekatwa

Kibonzo cha Kipanya; mti umekatwa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1613722185801.png

Huu mti ulikua imara na mizizi yake iliulinda mti huu usianguke. Aliyeukata mti huu ana nyenzo imara kama chainsaw.
 
Mizizi imebaki....kuota mti mkubwa size hiyo itachukua miaka mingi...mpaka kupata seif mwingine ...
 
Mti mkubwa umekatwa na nyenzo yenye nguvu mithili ya chainsaw. Itachukua miaka mingi hiyo mizizi kumea na kuja kuwa mti mkubwa tena au inawezekana watu wakaja wakakata hiyo mizizi wapate huko kuni kwa ajili ya matumiz mengine (Waondoe Kisiki)
 
Back
Top Bottom