Kibonzo cha Kipanya TRA walinyanyasa wageni nyumbani, sasa mama anaangalia

Maneno matupu ni changa la macho!Mgeni anapaswa kulindwa kwa kutumia sheria na wala siyo maneno matupu kwa sababu nchi huongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu.
 
Hili jina la Junior inaonekana lina matatizo sana
 
Masoud ni mtangazaji mwenye Iq kubwa bongo kushinda wote kwenye mainstream media..katuni zake zinathibitisha hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…