Kibonzo cha Kipanya: Watawala wanaiogopa Katiba Mpya

Kibonzo cha Kipanya: Watawala wanaiogopa Katiba Mpya

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1620791856222.png
 
Lazima waigope Best kwani wanajua Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ndiyo KIAMA chao watapotea milele katika anga ya siasa za Tanzania hivyo ni bora waendelee kufanya uharamia wao na ujambazi wa kutisha ikiwemo mauaji kupitia polisiccm na Tume FAKE ya uchaguzi ili kung’ang’ania madarakani.

Yule mama akademka eti Katiba Mpya tutasubiri sana! Sijui nani alimpa madaraka ya kuwa msemaji wetu Watanzania kuhusiana na katiba mpya.
 
Lazima waigope Best kwani wanajua Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ndiyo KIAMA chao watapotea milele katika anga ya siasa za Tanzania hivyo ni bora waendelee kufanya uharamia wao na ujambazi wa kutisha ikiwemo mauaji kupitia polisiccm na Tume FAKE ya uchaguzi ili kung’ang’ania madarakani. Yule mama akademka eti Katiba Mpya tutasubiri sana! Sijui nani alimpa madaraka ya kuwa msemaji wetu Watanzania kuhusiana na katiba mpya.
Katiba mpya itakua mwisho wa kukabidhiana mahekalu, nani anaependa kujichimbia kaburi lake mwenyewe?
 
Kabisa walafi hawa hawaoni hata aibu. Nchi ina matatizo chungu nzima halafu mstaafu aliyekaa madarakani kwa miaka 10 mshahara kwa mwaka milioni 400 na ushee haukatwi kodi anajengewa nyumba ya bilioni 900 kabla ya furniture!!! Halafu wanajiita eti Wazalendo!!!
Katiba mpya itakua mwisho wa kukabidhiana mahekalu, nani anaependa kujichimbia kaburi lake mwenyewe?
 
Lazima waigope Best kwani wanajua Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ndiyo KIAMA chao watapotea milele katika anga ya siasa za Tanzania hivyo ni bora waendelee kufanya uharamia wao na ujambazi wa kutisha ikiwemo mauaji kupitia polisiccm na Tume FAKE ya uchaguzi ili kung’ang’ania madarakani.

Yule mama akademka eti Katiba Mpya tutasubiri sana! Sijui nani alimpa madaraka ya kuwa msemaji wetu Watanzania kuhusiana na katiba mpya.
Huwa sipingi swala la Katiba mpya ila uzoefu wangu mimi binafsi kutokana na umri nilionao, umenionyesha kuwa nchi huwa haiongozwi na Katiba, bali kivnachohitajika kwanza ni discipline halafu Katiba nayo ndiyo sasa inafuata

Watu wenye Katiba kama ile tuliyonayo sisi kwa sasa, na wenye discipline, wana uwezekano wa kufanya WONDERS kwa kutumia katiba hiyo hiyo, hata mara elfu zadi kuwazidi watu wasiokuwa na discpiline na watakaokuwa wanatumia Katiba mpya tunayoililia kila siku

Kwa hiyo ninachojaribu kusema hapa ni kwamba ni bora zaidi nchi ikawa na DISCIPLINE hata BILA KATIBA kabisa, kuliko ikawa na KATIBA NZURI SANA LAKINI BILA DISCIPLINE

Kwa hiyo tusiwe tunatumia theory za darasani tu kwamba nchi huwa inaongozwa na Katiba, hapana haiko hivyo. Nchi huwa inaongozwa na watu wenye discipline kwa maana kuwa watu wenye discipline wanaweza kujenga nchi yao hata bila Katiba, lakini Katiba bila watu wenye discipline, haiwezi hata kidogo kujenga nchi
 
Hapo suala sio kuogopa katiba mpya, ni kwamba wanainajisi wanaichambia chooni na huyo sio mwingine ni Jobo maana hilo koti linaonekana kabisa ni lakwake
 
Lazima waigope Best kwani wanajua Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ndiyo KIAMA chao watapotea milele katika anga ya siasa za Tanzania hivyo ni bora waendelee kufanya uharamia wao na ujambazi wa kutisha ikiwemo mauaji kupitia polisiccm na Tume FAKE ya uchaguzi ili kung’ang’ania madarakani.

Yule mama akademka eti Katiba Mpya tutasubiri sana! Sijui nani alimpa madaraka ya kuwa msemaji wetu Watanzania kuhusiana na katiba mpya.
sidhani mkuu kama katiba ndo tatizo la hii nchi,.
kwa sababu hata hii iliyopo inavunjwa mchana kweupe na hakuna cha kufanya.
kuifuata katiba ndio tatizo.
 
Ndiyo tatizo nambari one kwa sababu maamuzi ya Watanzania nani awe Kiongozi wetu na Wabunge yanakiukwa na hivyo kupata wahuni, wezi, mafisadi ambao hawaheshimu taratibu na sheria za nchi na hivyo kujifanya kama wana hati miliki ya nchi. Chaguzi huru na za haki zitaondoa hilo ka chama kukaa madarakani miaka 60 kwani wakivurunda tu wanaondolewa kupitia ballot box.

sidhani mkuu kama katiba ndo tatizo la hii nchi,.
kwa sababu hata hii iliyopo inavunjwa mchana kweupe na hakuna cha kufanya.
kuifuata katiba ndio tatizo.
 
Back
Top Bottom