Kibonzo cha Noeli kutoka kwa Kipanya

Kibonzo cha Noeli kutoka kwa Kipanya

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1608867775817.png
 
Duuuh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bahati mbaya hata hao viongozi wataamini na kukubali kwamba ni kweli kuna semina ya kutii sheria bila shuruti inaendelea humo..

Au ninasema uongo ndugu zangu?! Tupo pazuri.
tatizo huwa kubwa hapo.

mimi nakumbuka aliishakuja makamu wa rais mkoa fulani halafu kabla barabara ikaanza kuchongwa na tingatinga[emoji28][emoji28][emoji28]

nikawa nawaza,kwani huyo jamaa ni kiazi kiasi gani asijue vimefanywa aje aone tu[emoji23][emoji23]nashukuru kwa sasa watu kama majaliwa hawezi kukuchekea anakupa za uso.
 
Back
Top Bottom