mimi nakumbuka aliishakuja makamu wa rais mkoa fulani halafu kabla barabara ikaanza kuchongwa na tingatinga[emoji28][emoji28][emoji28]
nikawa nawaza,kwani huyo jamaa ni kiazi kiasi gani asijue vimefanywa aje aone tu[emoji23][emoji23]nashukuru kwa sasa watu kama majaliwa hawezi kukuchekea anakupa za uso.