Kibonzo fikirishi cha leo!

Kibonzo fikirishi cha leo!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Inafikirisha mno!
FB_IMG_1690523772996.jpg
 
Karamagi yupo pembeni ya mbowe, na slaa hayupo mbali,kama sijakosea!
"Katika siasa suala la kununuana lipo,wanasiasa wengi sio wajinga,wako zaidi kifaida na maslahi binafsi,huwa nawahurumia sana wafuasi wao,huwa hawajui mapichapicha yaliyopo Ndani yake!
Umewaona Slaa na Mbowe tu?!😂😂🔥
 
Niwemuwazi kwa kweliycjaelewa picha fikirishi sana hii embu mtudadavilie nacc tupate ujumbe
 
Duh

Huyo Mmanga aliyepiga magoti hapo chini ya tanki ndio nani? Shabiby au Abood? Rostam au Manji? Makolo FC au Utopolo FC [emoji23]?

Gieshiemu, hapo picha linaeleza muwekezaji ni mtu kutoka ndani ya nchi na wale wanaovurugana ni wanahisa wanaogombea kupata hisa kwenye uwekezaji wakati huo karamagi yeye kawekwa pembeni anashangaa tu maana katolewa kwenye mchezo
 
Hata haifikirishi....! Karamagi hapo nyuma anafanya nini? Karamagi hashusiki na mkataba wa kuuza ardhi ya Tanganyika. Yeye aliwekeza kwenye bandari tu, hakuomba kujimilikisha hata nukta ya ardhi ya Tanganyika. Hao Dada Poa wao wanataka wapewe haki ya kumiliki ardhi yote ya Tanganyika hadi makaburi, wanataka tukazikwe wapi?
 
Back
Top Bottom