Kibonzo fikirishi cha leo!

Umewaona Slaa na Mbowe tu?!😂😂🔥
 
Niwemuwazi kwa kweliycjaelewa picha fikirishi sana hii embu mtudadavilie nacc tupate ujumbe
 
Duh

Huyo Mmanga aliyepiga magoti hapo chini ya tanki ndio nani? Shabiby au Abood? Rostam au Manji? Makolo FC au Utopolo FC [emoji23]?

Gieshiemu, hapo picha linaeleza muwekezaji ni mtu kutoka ndani ya nchi na wale wanaovurugana ni wanahisa wanaogombea kupata hisa kwenye uwekezaji wakati huo karamagi yeye kawekwa pembeni anashangaa tu maana katolewa kwenye mchezo
 
Hata haifikirishi....! Karamagi hapo nyuma anafanya nini? Karamagi hashusiki na mkataba wa kuuza ardhi ya Tanganyika. Yeye aliwekeza kwenye bandari tu, hakuomba kujimilikisha hata nukta ya ardhi ya Tanganyika. Hao Dada Poa wao wanataka wapewe haki ya kumiliki ardhi yote ya Tanganyika hadi makaburi, wanataka tukazikwe wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…