Nawahi mapema kuachia ngazi kabla nasema kwa manufaa ya taifa langu acha niwajibike βοΈβοΈEmbu Imagine wewe ni Siro unamka unakutana na kibonzo kama hiki, utachukua hatua gani ?
Polisi laana imejaa pale kubadilika ni kudra za muumba.
Unahisi atakua mlaini kisa anakula urojo sio?Asije tu kutuletea IGP kutoka ZENJI
Duuuh mkuu una madongoUnahisi atakua mlaini kisa anakula urojo sio?
Nimeuliza buana acha uchochezi....tehDuuuh mkuu una madongo
Unahisi atakua mlaini kisa anakula urojo sio?
Usiniwekee maneno mdomoni, hayo umesema weweπππUnahisi atakua mlaini kisa anakula urojo sio?
Bunduki zitakua zinabonyezwa kizenji,bonyeeeeeee,mpaka amalize kubonyeza jambazi atakua kapotea kama upepo,au kamuwahi kumdedisha polisi mdebwedoNimeuliza buana acha uchochezi....teh