Kibonzo; mama amejiandaa hataki utani

Kibonzo; mama amejiandaa hataki utani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1619773057702.png
 
daahh hadi nimemuogopa amevaa sura ya kigaidi
 
Yaani kabeba silaha zoooooooote hadi hilo la kuzibulia choo jamani
 
Atumie hizo zana kutusafishia ugoro wote wa itikadi za magenge ya wasukuma na wanachatto.

Ikumbukwe kuna tofauti ya wasukuma au wanachatto na itikadi za upigaji zinazotambulishwa na majina hayo.

Mama aonyeshe nia tutamwunga mkono.
Inaelekea kuna walioumizwa huko Dodoma, huoni damu hapo.
 
Askofu Rashid amesha zinguliwa huko ujumbe wa NEC.

Pamoja na yote JK ni mstaarabu sana.

Pana haja ya kuona njia ya kushirikiana naye kuona ndoto ya uwepo wa Tanzania njema tunayoistahili (kwa amani) inafanikiwa.
 
Back
Top Bottom