Kibonzo: Mwigulu Nchemba alaumiwe kwa yote ila tukubali kazi zake

Kibonzo: Mwigulu Nchemba alaumiwe kwa yote ila tukubali kazi zake

Comrade Mushi

Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
5
Reaction score
7
Mchoraji yuko vizuri
IMG_20230316_085842_914.jpg
 
Tanzania hapakuwa na Lockdown hivyo corona haikututikisa.

Pia vita ya Ukraine haikupiganwa ndani ya nchi yetu.

Baba wa family Kwa mfano, anawezaje kurudi nyumbani mikono mitupu na watoto wakimwambia tuna njaa, anaweza kuwajibu kuwa ni sababu ya vita ya Ukraine na corona akaeleweka?

Kama mmeshindwa kutatua changamoto za wananchi mjiuzulu.
 
Elimu bila koneksheni hamna kitu madelu kafanya jamaa yake achaguliwe tume ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom