Tanzania hapakuwa na Lockdown hivyo corona haikututikisa.
Pia vita ya Ukraine haikupiganwa ndani ya nchi yetu.
Baba wa family Kwa mfano, anawezaje kurudi nyumbani mikono mitupu na watoto wakimwambia tuna njaa, anaweza kuwajibu kuwa ni sababu ya vita ya Ukraine na corona akaeleweka?
Kama mmeshindwa kutatua changamoto za wananchi mjiuzulu.