Kibonzo: Posho ya kuhudhuria msiba Namibia

Na kwa viongozi wenye level ya ukurugenzi kuanzia tu safari za majiji per diem zao sio chini ya 250k je allowance yake akitoka nje ya nchi si itakuwa 500k
 
Isee sasa jamani na sisi wananchi tuna vijiba vya roho kwakweli sasa huko namibia tulitaka wawakilishi wanaenda huko waende bila posho wakati ndio utaratibu wa serikali yetu.
Namibia kuna tanga ndugu?siku mbili zingetosha upigaji kila pande ukiwa hujanufaika nao lazima ukuume ila na wewe ukiziotea unaona ni sawa kabisa na ni haki yako
 
Watu wanatumia fursa...
Ndo maana tunaotaabika nasi tukipata nafasi huwa tunasahau...na kuwaza upigaji Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…