The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Amini usiamini uwepo WA kibunD unamvhngi karibia 30% ya performance ya timu nzima ya Simba.
Jamaa anajua kuforce kingi Hadi manejo wanabakia kunywa maji mda wote Huyu jamaa ni Hatari mabeki wanateseka sana.
Uwepo wake uwanjani unatengeneza pressure kubwa Sana huko mbele kitu ambacho Wapinzani wanakuwa wancheza Kwa tahadhari kubwa sana.
Na ikitokea kapata upenyo ana madhara makubwa sana. Simba inahitaji replacement au wasaidizi wa Onyango . Chama, Tibazonkiza na Mohamed Hussain itakuwa Hatari Zaidi huko mbele maana game plan Zao ziko poa sana.
Wachezaji wazee wanaiangusha sana Simba SC Hasa swala la mpira wa speed linapokuja