The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
One season wonder.Ali salum jana hakuwa sawa timing yake ya kuruka kwenye penalty haikuwa nzuri sana
Acheni kuongea kishabikiMkurugenzi, kwani kuna mechi inaendekea muda huu huko uliko? Mbona kama sielewi!!
Anaota ndoto ya maruweruwe🤸🤸Mkurugenzi, kwani kuna mechi inaendekea muda huu huko uliko? Mbona kama sielewi!!
Pole mwana🦁Acheni kuongea kishabiki
Hii thead ya wenge la kufungwaAmini usiamini uwepo WA kibunD unamvhngi karibia 30% ya performance ya timu nzima ya Simba.
Jamaa anajua kuforce kingi Hadi manejo wanabakia kunywa maji mda wote Huyu jamaa ni Hatari mabeki wanateseka sana.
Uwepo wake uwanjani unatengeneza pressure kubwa Sana huko mbele kitu ambacho Wapinzani wanakuwa wancheza Kwa tahadhari kubwa sana.
Na ikitokea kapata upenyo ana madhara makubwa sana. Simba inahitaji replacement au wasaidizi wa Onyango . Chama, Tibazonkiza na Mohamed Hussain itakuwa Hatari Zaidi huko mbele maana game plan Zao ziko poa sana.
Wachezaji wazee wanaiangusha sana Simba SC Hasa swala la mpira wa speed linapokuja
AsantePole mwana🦁
Hata kanoute, mmmh!1. Kuna USHENZI Huwa anafanya Mo wa kupoteza wachezaji wazuri kama KAKOLANYA IMENIUMA MNO.
2. UBAHIRI WA MWAMEDI UNATUPONZA PIA NA SCAUTING YA WACHEZAJI.
KULETA WACHEZAJI WENYE WUALITY NDOGO.
3. UZEMBE MKUBWA KWENYE USAJILI WA WACHEZAJI.
I. Okrah.
II. Sawadogo.
III. Banda ( NO 9)
IV. Sackho.. atupishe.
V. Kanute atafutiwe mbadala.
VI. Ottara.
SIMBA INA UHITAJI WA WACHEZAJI SABA WA KIMATAIFA NDIO IVUKE HAPO. HELA WANAZO HADI HAPO WAMEPATA BILIONI 1 NA MILIONI 500.
SUPER CUP WANA BILIONI 4.
TUSAJILI WACHEZAJI TUEPUKE UBAHILI
inawezekana na ndiye aliyetuangusha maana hata lile goli lilikuwa la kizembe sana, hatumlaumu ni mgeni kwnye mechi kazi hizi, binafsi nilikuwa simjui kabla ya mechi na yanga japo mi shabiki wa simbaAli salum jana hakuwa sawa timing yake ya kuruka kwenye penalty haikuwa nzuri sana
hakuna wenge hapo ni uchaambuzi konkiHii thead ya wenge la kufungwa