Kibu Denis aibuka shujaa kwa Mkapa, CS Sfaxien wapagawa na kumpiga Refa dakika za jioni

Simba wajiandae na fitna za kufa mtu wakienda Tunisia....injury time imetubeba sana
 
IMG-20241215-WA0037.jpg
 
Simba wajiandae na fitna za kufa mtu wakienda Tunisia....injury time imetubeba sana
Watapigwa rungu na CAF hao watatuliza mshono..wafanye hizo fitna tunazitaka point za bure za CAF..tutakua tunarekodi fitna zote kuanzia uwanja wa ndege
 
Back
Top Bottom