Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibu anahitaji mtu wa kumjenga kisaikolojia!Anakosa kujiamini!Mkuu John Boco kiwango kimeshuka lakini alisajiliwa Simba akiwa na kiwango chake bora,lakini kwa Kibu ni tofauti kasajiliwa kucheza Simba akiwa na kiwango kibovu.
Hivi Mhilu aligusa mpira?Mkuu John Boco kiwango kimeshuka lakini alisajiliwa Simba akiwa na kiwango chake bora,lakini kwa Kibu ni tofauti kasajiliwa kucheza Simba akiwa na kiwango kibovu.
Hivi Mhilu aligusa mpira?
Kwa aliyeangalia mechi hawezi kuuliza hili swali lako.Hivi Mhilu aligusa mpira?
Hivi ndivyo klabu za Bongo zinavyowatreat Malegend wao. No Respect At All.Kwa Sasa galasa Simba ni Bocco!Anatakiwa akacheze Ndondo!
Msumari wa moto huu....Hivi ndivyo klabu za Bongo zinavyowatreat Malegend wao. No Respect At All.
Mpira Uliusikilizia Redio gani😂Hivi Mhilu aligusa mpira?
Ile game ya Namungo ndio nlimuona hakuna kitu humo sijui Simba wali ingiaje mkengeIle game ilikuwa na pressure hatari na ndo mechi yake ya Kwanza (kubwa) Ila he is the best I can guarantee that