holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Taarifa za kuaminika ndani ya uongozi wa klabu ya Simba SC zinaeleza,Kibu Denis amepata majeraha ya kifundo cha mguu,yatakayomuweka nje kwa takribani wiki 6,hivyo atakosekana uwanjani siku ya jumamosi,
Ikumbukwe Kibu D ni mchezaji chaguo la kwanza la kocha Fadlu Davis katika karibia michezo yote ya ligi ya NBC PL na CAFCC,hivyo kukosekana kwake ni pigo kwa mabingwa hawa wa league mala 22 kuelekea mchezo wao muhimu machi nane dhidi ya wapinzani wao Yanga
Mbadala wa Kibu ni Joshua Mutale,Chasambi au Edwin Balua
Nini maoni yako kuelekea mchezo huo?