Hana miujizaWakuu,
Taarifa za kuaminika ndani ya uongozi wa klabu ya Simba SC zinaeleza,Kibu Denis amepata majeraha ya kifundo cha mguu,yatakayomuweka nje kwa takribani wiki 6,hivyo atakosekana uwanjani siku ya jumamosi,
Ikumbukwe Kibu D ni mchezaji chaguo la kwanza la kocha Fadlu Davis katika karibia michezo yote ya ligi ya NBC PL na CAFCC,hivyo kukosekana kwake ni pigo kwa mabingwa hawa wa league mala 22 kuelekea mchezo wao muhimu machi nane dhidi ya wapinzani wao Yanga
Mbadala wa Kibu ni Joshua Mutale,Chasambi au Edwin Balua
Nini maoni yako kuelekea mchezo huo?
Huyu Kibu Denis zaidi ya kukimbia tu uwanjani na kutumia nguvu nyingi kuliko akili ana lipi la maana hadi awe pengo kwa Simba?Wakuu,
Taarifa za kuaminika ndani ya uongozi wa klabu ya Simba SC zinaeleza,Kibu Denis amepata majeraha ya kifundo cha mguu,yatakayomuweka nje kwa takribani wiki 6,hivyo atakosekana uwanjani siku ya jumamosi,
Ikumbukwe Kibu D ni mchezaji chaguo la kwanza la kocha Fadlu Davis katika karibia michezo yote ya ligi ya NBC PL na CAFCC,hivyo kukosekana kwake ni pigo kwa mabingwa hawa wa league mala 22 kuelekea mchezo wao muhimu machi nane dhidi ya wapinzani wao Yanga
Mbadala wa Kibu ni Joshua Mutale,Chasambi au Edwin Balua
Nini maoni yako kuelekea mchezo huo?
kwani nyie mnashindwa nini kuhonga hao wachezaji na marefarii?GSM kashamuonga kibu Denis na wakala wa mpanzu ..ndio mbinu wanazotumia kuishinda Simba ila yanga ni katimu kadogo kinachobebwa na marefa ..nakuhonga honga wachezajibwa Simba
Alisikika mlevi wa visungura akipita mtaa wa Msimbazi na bodaboda hajavaa element kwenye barabara ya mwendokasi.GSM kashamuonga kibu Denis na wakala wa mpanzu ..ndio mbinu wanazotumia kuishinda Simba ila yanga ni katimu kadogo kinachobebwa na marefa ..nakuhonga honga wachezajibwa Simba
NakaziAHuyu Kibu Denis zaidi ya kukimbia tu uwanjani na kutumia nguvu nyingi kuliko akili ana lipi la maana hadi awe pengo kwa Simba?
simba hawana kikosi kipana hakika nawaambia, imagine kwa wapinzani wa simba,yanga farid mussa,mkude,kibwana,mwenda,yao,chama,sure boy,duke,musonda,mwamnyeto na wengineo wote wanaanzia benchi,taarifa ya kibu denis imewashtua wanasimba wote,hawana matumaini na machaguo yao mengine, lakini upande wa yanga hata tusikie KI hachezi hakuna maajabu sijui mzize,pacome,max,chama,dube wote ni mastaa, sio kule akiumia kibu basi matumaini ya kutafuta japo sare yanayeyuka.Nini kilimpata balua? Siku izi hapewi nafasi kabisa
Sasa kama timu ndogo inategemea kuhonga, na hiyo timu ya wahongwaji si ndo kikundi cha wacheza singeli tu kama wale kigoma cha Uruguay?GSM kashamuonga kibu Denis na wakala wa mpanzu ..ndio mbinu wanazotumia kuishinda Simba ila yanga ni katimu kadogo kinachobebwa na marefa ..nakuhonga honga wachezajibwa Simba