Kibu Denis ni mshambuliaji hatari sana kuliko George Mpole

Asipofunga mechi 3 anakua mbaya akifunga mechi moja anakua mzuri mashbiki wa mpira Tanzania tunamattzo tena sana atujui tunataka nn na atutaki nn
 
Alianza kufananishwa na king FK Mayele,sasa amekuja George Mpole.

Yaani!! Mashabiki wa simba bwana[emoji3],kila Kibu Denis akishinda basi atafananishwa uwezo na straika ambaye anamzidi kila kitu.

Sawa bhana! Kupanga ni kuchagua.
Jamaa akaanzisha thread kabisa lakini mpaka leo hii ameikimbia haji tena. [emoji1][emoji1]
 
Naamini hili, ila abadilishiwe nafasi, kumtumia kama winga wa kulia ni kumkosea saana, naona anaoata tabu hata kidrible, kuingia nao ndani.
Naunga mkono Howard. Mimi namuona kama center forward hivi kuliko winger.
 
Umeongea ukweli ambao watu wengi hawaujui. Kibu is a baller and goal poacher!! Ninachokiona ni kuwa kocha anamchezesha out of position!! Kibu alitakiwa acheze namba tisa au kumi akiwa analitazama goli ndio muone jinsi anavyotupia
 
Jana kapiga key passes ngapi ambazo mapopoma kina mzamilu na bocco wameshindwa kufunga. Kibu is a baller.
Kibu ni mchezaji wa hovyohovyo. Kila wakati anapoteza mipira. Anakaa na mpira muda mrefu bila sababu. Anapiga pasi mbovu na za uoga. Ana safari ndefu bado.
 
Kibu kakosa nafasi moja kelele kibao ila kina banda na sakho wakikosa nafasi za wazi huwa hamuongei.
 
Jana kapiga key passes ngapi ambazo mapopoma kina mzamilu na bocco wameshindwa kufunga. Kibu is a baller.
Mzamiru ni mfungaji tangu lini?
Kibu anapoteza sana mpira. Anakimbia bila plan. Anakabika kirahisi.
 
Mzamiru ni mfungaji tangu lini?
Kibu anapoteza sana mpira. Anakimbia bila plan. Anakabika kirahisi.
Mimi Ni shabiki wa mnyama, huyo jamaa anaemsifia kibu sizani Kama amewahi kucheza mpira, Tanzania kiuhalisia wachezaji wenye vipaji wapo wengi Sana kuliko hao tunaowaona, mfumo wetu wa kusaka vipaji Ni mbovu, mshambuliaji una footwork mbovu, ball control F, hata kumtoka Beki mmoja kazi ngumu halafu vyombo vya habari vinapiga propaganda tu, wanasifia watu ambao uwezo wao Ni mdogo, talent zipo Ila kibu sio mmojawapoo anacheza kwasababu anafanya mazoezi mpira tizi tunaita, wa kawaida sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…