Kibu Denis ni wa kumuweka benchi mchezaji anayeitwa timu ya Taifa Senegal (Pape Osumane Sakho)?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ina maana Kibu Denis ni Bora sana kuliko Pape osumane sakho mchezaji anayeitwa kwenye kikosi Cha Taifa Senegal?

Robertinho ameona nini kwa Sakho mpaka aanzie bench na kumuamini Kibu Denis asiyejulikana hata anachezea timu gani ya Taifa?

Zile nyimbo tulizoimba mashabiki kuwa sakho ni chezaji la CAF Ina maana Robertinho kaja kutu prove wrong??

Tukisema kuwa sakho anaitwa Timu ya Taifa kwa mchongo wa mawakala wake ili wampe thamani sokoni anunuliwe kwa pesa kubwa (mchezaji ni bidhaa inayohitaji promo ili iuzike sokoni).

Kweli nimeamini Robertinho ni great thinker kaona kabisa Sakho Hana talanta ya kumzidi Kibu denis hata goli la CAF alibahatisha tu.

Screenshot_20230602-175846.jpg
 
View attachment 2644564
Leo mnamanuliwa kinyama huko wewe unahangaika na Sakho huku
 
Huo ni mchomeko mmoja tu ambao kibu d alikuchomeka siku kadhaa zilizopita, na je kama angekuchomekea vitatu si usingetamani hata awepo nchi hii.
 
Nakumbusha tu[emoji120] kwa kiroho safi kama upo Dar. Hali ya hewa unaiona. Huku kwetu Algeria mara mbili. basi tegemea ASMA anampa mtu 5 apotee kabisa alipo toka
 
Nipo palee[emoji117]
 
Back
Top Bottom