NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Leo mnamanuliwa kinyama huko wewe unahangaika na Sakho hukuIna maana Kibu Denis ni Bora sana kuliko Pape osumane sakho mchezaji anayeitwa kwenye kikosi Cha Taifa Senegal?
Robertinho ameona nini kwa Sakho mpaka aanzie bench na kumuamini Kibu Denis asiyejulikana hata anachezea timu gani ya Taifa?
Zile nyimbo tulizoimba mashabiki kuwa sakho ni chezaji la CAF Ina maana Robertinho kaja kutu prove wrong??
Tukisema kuwa sakho anaitwa Timu ya Taifa kwa mchongo wa mawakala wake ili wampe thamani sokoni anunuliwe kwa pesa kubwa (mchezaji ni bidhaa inayohitaji promo ili iuzike sokoni).
Kweli nimeamini Robertinho ni great thinker kaona kabisa Sakho Hana talanta ya kumzidi Kibu denis hata goli la CAF alibahatisha tu.
View attachment 2644564
Pole sana [emoji8]Sio kila unachowaza unapost...
Kama alivyofanya Azamu scNgoja Leo mkalie chuma 3 mpaka pawe pekundu
Haisaidii kupunguza idadi ya magoli mtakayopulizwa na Mwarabu leo usikuSakho ni mchezaji wa Umiseta....
Nipo palee[emoji117]Nakumbusha tu[emoji120] kwa kiroho safi kama upo Dar. Hali ya hewa unaiona. Huku kwetu Algeria mara mbili. basi tegemea ASMA anampa mtu 5 apotee kabisa alipo toka
Unashupaza shingo lakini yanga ataibuka MshindiHaisaidii kupunguza idadi ya magoli mtakayopulizwa na Mwarabu leo usiku
[emoji3][emoji3][emoji16]Sakho ni mchezaji wa Umiseta....
[emoji16]Hizo zote ni hasira kwa Kibu D sababu ya View attachment 2644632
Leo mnakandwaaa