Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Pole naona ulipaniki au wewe ndio mkimbizi?Siwezi kurusha ngumi kwa mtu uliyejichokea mapema kama wewe mkuu. Am sorry!
Bongo kuna wachambuzi ndugu yangu?Naona unanitafutia burn kinguvu we choko[emoji867] Nikisema wewe Ni pimbi unaliwa kisamvu ntakuwa nakosea kwahiyo wachambuz wanaochambua mpira wamewazid makocha mbinu ? Shule za kata Zina shida Sana ona zinatuletea mapunga Kama haya ,wewe Ni zero brain sikujib Tena fala wewe
Umeandika mavi ya bata.Naona unanitafutia burn kinguvu we chokoNikisema wewe Ni pimbi unaliwa kisamvu ntakuwa nakosea kwahiyo wachambuz wanaochambua mpira wamewazid makocha mbinu ? Shule za kata Zina shida Sana ona zinatuletea mapunga Kama haya ,wewe Ni zero brain sikujib Tena fala wewe
Nakuambia hoja we unaleta vihoja,KoLO bhana!!Kwahiyo asingepiga yeye kagere angefunga!?
UTOPOLO BHANA.
Kwa kiwango chako hiyo ni hoja!?Nakuambia hoja we unaleta vihoja,KoLO bhana!!
We mshenzi tu, kama ungekuwa mtu anayejitambua huwezi kumsema mtu mambo ya kibaguzi kama hayo.Pole naona ulipaniki au wewe ndio mkimbizi?
Unadhani neno "mkimbizi" yaani "Refugee" linafaa sana kutumika?once your foreigner you will always be the same..
rusha ngumi basi kama vipi
Anhaa labd mtoa mada anatafuta ni keKwamba kibu dennis ni ziggo
Sawa NYANI na wewe hivi punde tutakupeleka BURIGI-CHATO kwa sababu kuna uhaba ya NYANI.huyu mkimbizi hajui kucheza diamond anataka kuongeza baunsa mpelekeni huyu Bob Marley
Nduguye nchimbi!Niende moja kwa moja kwenye mada kwa mhusika tajwa hapo juu,wadau wa soka hasa Wana simba je mnaona kweli huyu mtu anatufaa pale msimbzi? Mimi kiukweli hanibarik kabisa Ni mchezaj mwenye papara Sana ,Ni mtu asie na shabaha ,anatumia nguvu nyingi kuliko akili...
Tatizo unaipenda timu na mpira wenyewe haujui,Tangu lini mpira wa rebound ukawa assist?Kwa kiwango chako hiyo ni hoja!?
Mwanangu mpira umechezea wapi!? Acha papara mwanguTatizo unaipenda timu na mpira wenyewe haujui,Tangu lini mpira wa rebound ukawa assist?
Mpira wenyewe haujui tunakuelekeza then unaanza kuleta ubishi wa kipumbavu.
Assist ni kama ile pass ya kagere to Kibu.
Kona ya Morrison to kagere.
Nyang'au wewe!!
C.C.Kibu Denis ni mshambuliaji mzuri sana lakini anakosa vitu vichache sana. Iwapo benchi la ufundi likimuelekeza vizuri na yeye akayashika maelekezo atakuwa bonge la mshambuliaji. Lakini kuelekezwa ni suala moja na kushika maelekezo ni suala lingine na linategemea zaidi na akili ya mtu anayeelekezwa. Iwapo atafuata maelekezo vizuri basi baada ya muda mfupi atakuwa mchezaji tegemeo pale Simba. Kwa umri wa Kagere na Boko sasa hivi hawawezi kucheza kwa ufanisi mechi tano mfululizo kwa dakika zote tisini na ukiongeza na majeraha ya mara kwa mara ya Mugalu ni wazi kuwa Kibu ataendelea kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara hivyo kuzidi kumjengea kujiamini.
Ubora wa Kibu upo kwenye kasi, kukimbia na mpira, pumzi, mashuti na nguvu kwa ujumla. Na suala la kutembea na mpira kwa kasi linawashinda washambuliaji wengi hata hawa wakubwa kutoka nje waliopo kwenye ligi yetu tunaowasifia kila siku.
Mapungufu makubwa ya Kibu yapo kwenye kukosa utulivu mbele ya lango na kutumia sana nguvu kila mahali ambapo sehemu nyingine inahitajika akili kidogo tu basi. Pia ana shida kidogo kwenye "control". Ni suala tu la benchi la ufundi kumuelekeza awe mtulivu awapo mbele ya goli na namna mbali mbali za kufunga magoli na azifanyie mazoezi hasa kama "kupress", "kucurve" , "kuchip" n.k. kwani yeye anapokutana uso na uso na golikipa yeye huwa anapiga tu mashuti bila hata kuangalia kipa wa timu pinzani kakaa vipi.
Naomba nikuunge mkono maana naona kidogo unaujua mpira. Yanga wana mchezaji anaitwa Yacouba Sogne. Huyu bwana mpe nafasi 6 atafunga moja, lakini ni hatari mno akiwa anaitafuta hiyo nafasi itakayomkosesha goli. Kwa sasa ana majeraha na Yanga nzima inahaha kupata mbadala wake. Kibu ni aina ya wachezaji ambao pilika zake uwanjani zinawafanya wapinzani wajue kuna mtu anaitwa Kibu.Wapemba wanamsemo wao; "Lisilo haja, linadharura"
Maana yake hata kisichofaa kwa matumizi ya kila siku ipo siku kitasaidia kwenye dharura
Kibu anamapungufu lakini kocha mzuri anaweza kumbadilisha. Hata Mugalu kuna washabiki wengi hawamkubali lakini makocha wote waliopata nafasi kumfundisha wanampa kipaumbele wakidai anakazi nyingine muhimu kiwanjani zaidi ya finishing.
Tumpe muda na kumtia moyo Kibu. With time naamini mapungufu yake yatarekebishwa na ataweze kuisaidia timu kwa vizuri zaidi