Kibu Dennis anaongoza kwa mabao huko Uturuki, sijui Kama atashikika msimu ujao

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kibu Dennis amebadilika sana, cjui kama hawa wageni watamweka benchi mwamba huyu aliyewanyamazisha Yanga msimu uliopita.

Hivi sasa ameshafunga mabao 2 kwenye mechi za kirafiki huko Ulaya, halafu yuko moto mno.

Ana nguvu mshkajj sio ya kawaida, akiweka mkonga wake lazima upasuke uso, ana mashuti sio ya kawaida, akiweka mpira mguuni huupokonyi.

Kibu kwa wale waliomuona mara ya mwisho akichezea Stars pale kwa mkapa aliupiga mwingi sana.

Kibu sasa hivi anatakiwa apewe sapoti tu ili akinukishe na mbrazil amemkubali sana, sana.
 
Hv ss ameshafunga mabao 2 kwenye mechi za kirafiki huko ulaya, halafu yuko moto mno.

Ana nguvu mshkajj sio ya kawaida, akiweka mkonga wake lazima upasuke uso, ana mashuti sio ya kawaida, akiweka mpira mguuni huupokonyi.

Kibu kwa wale waliomuona mara ya mwisho akichezea Stars pale kwa mkapa aliupiga mwingi sana.

Kibu sasa hv anatakiwa apewe sapoti t ili akinukishe na mbrazil amemkubali sana, sana
Ngoja akusikie Tate Mkuu akishalanduka na pombe yake pendwa ya mdafu
 
  • Thanks
Reactions: BRN
uwezo wake usiishie mazoezini na mechi za kirafiki tu, ajitume zaidi ya hapo
 
Kibu Dennis amebadilika sana, cjui kama hawa wageni watamweka benchi mwamba huyu aliyewanyamazisha Yanga msimu uliopita.

Hivi sasa ameshafunga mabao 2 kwenye mechi za kirafiki huko Ulaya, halafu yuko moto mno.

Ana nguvu mshkajj sio ya kawaida, akiweka mkonga wake lazima upasuke uso, ana mashuti sio ya kawaida, akiweka mpira mguuni huupokonyi.

Kibu kwa wale waliomuona mara ya mwisho akichezea Stars pale kwa mkapa aliupiga mwingi sana.

Kibu sasa hivi anatakiwa apewe sapoti tu ili akinukishe na mbrazil amemkubali sana, sana.
Kwa hiyo unataka kusema kwamba tumepata samata mwingine wa kumuuza ulaya?
 
Back
Top Bottom