Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ngoja akusikie Tate Mkuu akishalanduka na pombe yake pendwa ya mdafuKibu Dennis amebadilika sana, cjui kama hawa wageni watamweka benchi mwamba huyu aliyewanyamazisha Yanga msimu uliopita.
Hv ss ameshafunga mabao 2 kwenye mechi za kirafiki huko ulaya, halafu yuko moto mno.
Ana nguvu mshkajj sio ya kawaida, akiweka mkonga wake lazima upasuke uso, ana mashuti sio ya kawaida, akiweka mpira mguuni huupokonyi.
Kibu kwa wale waliomuona mara ya mwisho akichezea Stars pale kwa mkapa aliupiga mwingi sana.
Kibu sasa hv anatakiwa apewe sapoti t ili akinukishe na mbrazil amemkubali sana, sana
Hasa hapo kwenye mashuti wangepafuta, diara akipasoma ataomba kuhama ligiTafadhali hii habari Diara asiisome.
Wale Wakimataifa vipi,wamezuiwa kufunga?Mechi ni nyingi sana. Kila mwenye uwezo atacheza
Mkachukua ubingwa upi?Habari za Kibu waulizwe Utopolo
Kwa hiyo unataka kusema kwamba tumepata samata mwingine wa kumuuza ulaya?Kibu Dennis amebadilika sana, cjui kama hawa wageni watamweka benchi mwamba huyu aliyewanyamazisha Yanga msimu uliopita.
Hivi sasa ameshafunga mabao 2 kwenye mechi za kirafiki huko Ulaya, halafu yuko moto mno.
Ana nguvu mshkajj sio ya kawaida, akiweka mkonga wake lazima upasuke uso, ana mashuti sio ya kawaida, akiweka mpira mguuni huupokonyi.
Kibu kwa wale waliomuona mara ya mwisho akichezea Stars pale kwa mkapa aliupiga mwingi sana.
Kibu sasa hivi anatakiwa apewe sapoti tu ili akinukishe na mbrazil amemkubali sana, sana.
Kweli kabisa,haya mashuti ya Kibu yanafukuza wawekezaji😂Hasa hapo kwenye mashuti wangepafuta, diara akipasoma ataomba kuhama ligi