Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
mwenyezi mungu kupitia maagizo yake ametuagiza kufanya kazi, ili maisha yetu ya kila siku yasonge unapofanya kazi kwa bidii anakupa neema(mafanikio)sasa hapa ndipo panapowashinda wanadamu wengi akipata akipewa hiyo neema anapata kiburi anasahau neema ni ya mungu, kiburi siku zote ni shetani na mungu ukomesha kiburi.