"Kiburi za Msimu wa Korosho Kanda ya Kusini."

"Kiburi za Msimu wa Korosho Kanda ya Kusini."

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Serikali ya CCM inaendelea kuboresha maisha ya watanzania kwa kuweka umeme vijijini na mjini.

Mwenye Macho hambiwiii Tazama ! Umeme Vijijini hauchagui Aina ya Nyumba ! Tunaamini Uwepo wa Umeme utachochea Mapinduzi ya Kifkra na Maendeleo Kwa Wananchi wetu Vijijini Udumu Serikali yetu ya CCM inayomuhudumia Mnyonge !
mtawa.jpg
 
Yaaaan watu wanapata wanakula kwanzia milioni 10 profit hadi milioni mia tatu kwa mwaka hawana sehemu sustainable ya kuishi wanabaki kuwapa mbuzi soda sio kiburi ni ufala kiwango cha standard gauge
 
Wangefundishwa technology za kujitengenezea vigae kwa kutumia Udongo waezekee

sio hivyo tu hata kununua mashine za kubangu korosho ili wapandishe mnyororo wa thamani .....tanzania bado tuna safari ndefu sana kuhusu makazi wale jamaaa bhana duuu .....plus mtu kala faida ya kutosha bado ana lalamika serikali haijamletea madawa ndo maana serikali inawanyonya
 
Wangefundishwa technology za kujitengenezea vigae kwa kutumia Udongo waezekee
Hili hata mimi huwa nalifikiria mkuu kama warangi wanaweza kutengeneza vyungu vizuri kwa kutumia udongo na vinadumu miaka nenda rudi na ugali uliopikwa kwenye chungu ni mtum kweli ukichagizwa na kaharufu fulani hivi hadhimu, kwanini udongo huohuo usiwe kutengeza vigae vya kupau nyumba.

Mkuu tuuangane tuanzishe local industry ya vigae tuuchape kofi umasikini.
 
Back
Top Bottom