Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
Yaaaan watu wanapata wanakula kwanzia milioni 10 profit hadi milioni mia tatu kwa mwaka hawana sehemu sustainable ya kuishi wanabaki kuwapa mbuzi soda sio kiburi ni ufala kiwango cha standard gauge
sio hivyo tu hata kununua mashine za kubangu korosho ili wapandishe mnyororo wa thamani .....tanzania bado tuna safari ndefu sana kuhusu makazi wale jamaaa bhana duuu .....plus mtu kala faida ya kutosha bado ana lalamika serikali haijamletea madawa ndo maana serikali inawanyonyaWangefundishwa technology za kujitengenezea vigae kwa kutumia Udongo waezekee
Hili hata mimi huwa nalifikiria mkuu kama warangi wanaweza kutengeneza vyungu vizuri kwa kutumia udongo na vinadumu miaka nenda rudi na ugali uliopikwa kwenye chungu ni mtum kweli ukichagizwa na kaharufu fulani hivi hadhimu, kwanini udongo huohuo usiwe kutengeza vigae vya kupau nyumba.Wangefundishwa technology za kujitengenezea vigae kwa kutumia Udongo waezekee