"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!
mayenga vp tena?kumekucha?
pole sana tena sana bt si msiba uo na wala si mwsho wa dunia
simama imara siyo issue utampata mwngne labda mungu kakuepushia jambo baya u never knw au angekupotezea muda zaid the early the better.....
wapo weeeeeeng sana utampata mmoja mzzuuuur bt be calm usikurupuke usje ukakutana na mapakawatu wakakuumiza zaid...
pole sana!!!!
asi una phonebook apo?ebu chek chek wale reserve wale walokuwa wanakusumbua..akupe kampan bt km umfil usmpe uwaziri mkuu just awe wa mastor n ol staff...!!!!!!
umekunywa chai?njoo tunywe chai mwaya na viazi vtamu vya kukaanga najua apo ata msos aushuk....B STRONG.
Watu mna vituko lohAAfu ukute ndo kimerushwa Fesibuku.............................patamu hapo!:biggrin1::biggrin1:
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!
tengo miedo..no probrema..i wl send t via msg wory nt!!!Mambo Rose.....nimependa hereni zako
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!
tengo miedo..no probrema..i wl send t via msg wory nt!!!
mi naupendaga mgongo wako manake mi wangu upo km wa kenge nakwambia!!!!!
haaa babu wewe kucheka afya we cheka tu mpk meno yadondoke!!!!!!!we rose umenichekesha mpaka basi, yaani humu JF watu mna vituko balaa. Karibu upate black coffee basi
haaa babu wewe kucheka afya we cheka tu mpk meno yadondoke!!!!!!!
ukweli ndo uo mgongo wangu km wa kenge!!!!1
ahh mi nimeagza kahawa apa ya kawaida tu si hiyo blak coffee na viaz kdg basi ..m nt flng wel today sju niaje!!!!!!
Pole mwaya endelea kutembelea hum jf utapata nafuu maana humu kuna kila kitu madaktari, wakunga nk. Hii black coffee mbona ni hii ya kawaida tu mwaya manjonjo tu c unajua tena. alf unanitamanisha na hivy viaz lol
ukubwa dawa au siopole mayenga, hapo sasa umekua mkubwa!
tunaomba maelezo ya ziada, huyo shemeji mmekaa nae muda gani?, sababu ya kukupiga kibuti? je abambelezeki?
..m nt flng wel today sju niaje!!!!!!