Katika watangazaji ninaowahusudu ni huyu jamaa. Kwanza ni muwazi sana, pili anatumia nidhamu ya hali ya juu, na tatu ni mtafiti asie na mipaka. Ni icon ya pekee katika uhandishi wa habari. Anafaa kuwa Kiongozi pia. Nadhani kina Kibonde inabidi waige watu hawa.
Wanamwita mzee wa zaidi ya habari. Napenda uchambuzi wake kwenye kipindi cha Morning Magic. Ni mchambuzi na mtafiti wa kweli. Wadau tupeni details za huyu mwanahabari. Anaweza kuwa role model wangu
hujakosea. Hope walio karibu nae wananufaika sana
As usual...promo 4 magic n channel ten
Naombe gfrequency ya hiyo radio, maana huwa sina tabia ya kusikiliza hizi radio zetu... nataka kuona iyo tofauti aliyo nayo KIbwana maana namfahamu personallyDuuu jamaa ana data nyingi sana hadi anaogopesha wakati mwingine anawapasulia ukweli haogopi cha usalama wa taifa au al qaeda yaani anajua sana kazi yake ila ukweli namna ile hadi wa majina utamletea shida siku moja maana watanzania hawapendi kuambiwa ukweli hasa viongozi
Naona mnafanya promotion kwa ajiri Channel ten
Naombe gfrequency ya hiyo radio, maana huwa sina tabia ya kusikiliza hizi radio zetu... nataka kuona iyo tofauti aliyo nayo KIbwana maana namfahamu personally