Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Am 15 na niko humu JF nikiwabuguzi na hamna cha kunifanya unabisha?Tumepigwa huyu kikongwe ana miaka 21??? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mkuu kunywa kwanza maji...sio kwa spidi hizi🤣Kubabake... Hahaha... Ana watoto 3 huyu mwamba na wake 2. Ndoa ya kwanza ilikuwa 2013...
😂🤣Kubabake... Hahaha... Ana watoto 3 huyu mwamba na wake 2. Ndoa ya kwanza ilikuwa 2013...
Atakuwa badoKwa Wachezaji Wa Afrika hiyo Kawaida Sana..! Kwanza Huyo Katimiza lini Miaka 19?
MANULA ANA MIAKA 26????? AZAM AMEKAA TANGU 2010 HUU UONGO WA WAZI WAZITucheki na huku pia[emoji16]View attachment 2220991
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Kwahyo Kibu ana miaka 22 yaani nikikutana nae aniamkie afu eti mimi niitikie?? Big NOTucheki na huku pia[emoji16]View attachment 2220991
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Aah Sasa unabishana na nyaraka zake mkuu[emoji16]Kwahyo Kibu ana miaka 22 yaani nikikutana nae aniamkie afu eti mimi niitikie?? Big NO