Kibwana shomari kumbe aliwahi kuwa refa msaidizi akiwa na miaka 15

Kibwana shomari kumbe aliwahi kuwa refa msaidizi akiwa na miaka 15

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Kinda la Utopolo fc lenye miaka 21 hapa linaonekana katika picha likiwa kama mwamuzi msaidizi likiwa na miaka 15 tu , linaitwa Kibwana shomari

shomari.jpeg
 
Utopolo mdogo katika hatua za awali
 
Huyo sio kinda huyo ni mtu mzima sema ni andunje
classmates wa mwamnyeto huko tanga wanaanzia miaka 31 kwenda juu na shule eliyosoma watu wanajua kwamba ana miaka 32 ila kimpira ni 26 hapo sijawaongelea kina nyoni, boko, ajib, ...nk
 
Back
Top Bottom