C CHIZI VITABU JF-Expert Member Joined Jun 12, 2021 Posts 1,061 Reaction score 2,477 Nov 2, 2021 #1 Kinda la Utopolo fc lenye miaka 21 hapa linaonekana katika picha likiwa kama mwamuzi msaidizi likiwa na miaka 15 tu , linaitwa Kibwana shomari
Kinda la Utopolo fc lenye miaka 21 hapa linaonekana katika picha likiwa kama mwamuzi msaidizi likiwa na miaka 15 tu , linaitwa Kibwana shomari
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Nov 2, 2021 #2 Utani huu
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Nov 2, 2021 #3 Utopolo mdogo katika hatua za awali
Davey15 JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 203 Reaction score 217 Nov 2, 2021 #4 Huyo sio kinda huyo ni mtu mzima sema ni andunje
C CHIZI VITABU JF-Expert Member Joined Jun 12, 2021 Posts 1,061 Reaction score 2,477 Nov 2, 2021 Thread starter #5 Davey15 said: Huyo sio kinda huyo ni mtu mzima sema ni andunje Click to expand... classmates wa mwamnyeto huko tanga wanaanzia miaka 31 kwenda juu na shule eliyosoma watu wanajua kwamba ana miaka 32 ila kimpira ni 26 hapo sijawaongelea kina nyoni, boko, ajib, ...nk
Davey15 said: Huyo sio kinda huyo ni mtu mzima sema ni andunje Click to expand... classmates wa mwamnyeto huko tanga wanaanzia miaka 31 kwenda juu na shule eliyosoma watu wanajua kwamba ana miaka 32 ila kimpira ni 26 hapo sijawaongelea kina nyoni, boko, ajib, ...nk