MERCIFUL JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 2,788 Reaction score 3,126 May 10, 2016 #21 Asprin said: Na aliyekwambia kama nna uwezo wa kuthubutu kukutosa ni nani? Click to expand... Uwoga wangu tu! Yaani nilivyoona uko busy kuliwazana na yule mdada mie nikajikatia tamaa tu. Sasa kwani yule ni nani wako?😉
Asprin said: Na aliyekwambia kama nna uwezo wa kuthubutu kukutosa ni nani? Click to expand... Uwoga wangu tu! Yaani nilivyoona uko busy kuliwazana na yule mdada mie nikajikatia tamaa tu. Sasa kwani yule ni nani wako?😉
Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 May 10, 2016 #22 MERCIFUL said: Uwoga wangu tu! Yaani nilivyoona uko busy kuliwazana na yule mdada mie nikajikatia tamaa tu. Sasa kwani yule ni nani wako?😉 Click to expand... Hata simkumbuki. Hebu nikumbushe kiroho safi....
MERCIFUL said: Uwoga wangu tu! Yaani nilivyoona uko busy kuliwazana na yule mdada mie nikajikatia tamaa tu. Sasa kwani yule ni nani wako?😉 Click to expand... Hata simkumbuki. Hebu nikumbushe kiroho safi....
MERCIFUL JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 2,788 Reaction score 3,126 May 10, 2016 #23 Asprin said: Hata simkumbuki. Hebu nikumbushe kiroho safi.... Click to expand... Mmmmh! Haya nitakukumbusha.
Asprin said: Hata simkumbuki. Hebu nikumbushe kiroho safi.... Click to expand... Mmmmh! Haya nitakukumbusha.