Pilipili mboga
Member
- Apr 26, 2016
- 23
- 28
haha, basi labda alijidanganyaChizi katika ubora wake, chizi lenye akili kubwa alipata wapi akili ya kupiga simu na kukariri namba za hospitali basi chizi huyu anajitambua
😛😛😛Kuna machizi fresh
Unaeza kuta mtu yupo vzuri kavaaa fresh kabisa
Ila sasa ongea naye ndo utajua huyu ni zamwamwa.
Kuna mshikaj wangu aliwahi kutongoza chizi kilichotokea hahaha ni shida