Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
'Nilisikia kuwa alileta vurugu pale mahakamani ikiwa ni pamoja na kuvua mavazi aliyovaa na kukataa kuyavaa.Hvyo ikalazimu asome mashtaka kwenye KARANDINGA(cjui ni utani au?)nway,TUUUUME hiyoooo.......
Mahakimu wetu saa nyingine hawatumii common sense. Eti kwa vile sheria inataka mtuhumiwa afikishwe mahakamani na kusomewa mashitaka ndani ya saa 24 tangia alipokamatwa basi hakimu akaitekeleza sheria kichwa kichwa bila kujali huyu mtuhumiwa ni kichaa au la. Ndio maana wakampeleka mahakamani akiwa na ukichaa wake 100%. Ingekuwa ni mimi nisingefanya hivyo sababu haina maana kumsomea mashitaka mtu katika hali ya ukichaa tena akiwa uchi wa mnyama. That was too mechanical!!!!

Ujuzi wangu wa sheria ni mdogo ama hakuna kabisa. Lakini sidhani kama kuna sheria inasema kama mtu alikuwa katika wodi ya wagonjwa wa akili basi hatakiwi apelekwe mahakamani akifanya kosa la jinai.
Inabidi taratibu za kisheria zichukuliwe. Wakili wake ataitaarifu mahakama kwamba mteja wake ni mgonjwa na kuleta vielelezo. Baada ya kusikiliza na upande wa mashitaka na Mahakama ikiridhika ndipo itaamuru huyu mtu apelekwe kunakostaili. Ndio taratibu. Huwa tunapenda sana shortcut, lakini walioweka taratibu si wajinge.
Tunajuaje kama huyu mtu alitumwa kuua kule ndani na kupose kama mgonjwa?