toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Za jioni humu JF
Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha miaka michache ijayo watapoteza lugha zao asili. Hapa nagusia haswa Wachaga na Wameru na waarusha
Hizi jamii hazipendi kufundisha watoto wao haswa wa kizazi hiki lugha ya asili na ni nadra sana kukuta watoto wa kichaga na kimeru na kiarusha wakiongea lugha yao kwa sasa
Nyumbani ni mwendo wa kuongeleshwa Kiswahili tu na baadhi ya wazazi Kiingereza
Hii ni tofauti na zamani katika jamii hizo, tutarajie miaka ijayo hiyo lugha yao kufa kabisa maana watoto hawafunzwi lugha zao za asili.
Kuna wajinga wengine wanadhani kujua lugha ya asili ni ushamba au ukabila vp kujua lugha za kigeni sio upagani wa kitamaduni?
Halafu why wachaga wengi hawaipendi lugha yao? Yaani hawapendi kuongea lugha yao sana huwa wanaona haya.
Kuna wengine hadi huwa wanajidai Waswahili hawataki wajulikane kama wanajua lugha yao.
Kuhusu watoto kutofunzwa lugha yao na kutoongeleshwa lugha yao Wachaga na Wameru na waarusha jiandaeni kwa anguko la kabila lenu miaka michache tu ijayo.
#sosad
Sent using Jamii Forums mobile app