Baba yangu ni Mwarusha, Mama yangu ni Mchaga, nimezaliwa na kukulia Arusha, lakini ajabu ni kwamba nakijua kichaga(kimarangu) lakini kiarusha dooh!!, kwa kuongezea tu hapo baadhi ya waarusha nao siku hizi hawafundishi watoto wao pia.
Kweli tupuZa jioni humu JF
Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha miaka michache ijayo watapoteza lugha zao asili. Hapa nagusia haswa Wachaga na Wameru na waarusha
Hizi jamii hazipendi kufundisha watoto wao haswa wa kizazi hiki lugha ya asili na ni nadra sana kukuta watoto wa kichaga na kimeru na kiarusha wakiongea lugha yao kwa sasa
Nyumbani ni mwendo wa kuongeleshwa Kiswahili tu na baadhi ya wazazi Kiingereza
Hii ni tofauti na zamani katika jamii hizo, tutarajie miaka ijayo hiyo lugha yao kufa kabisa maana watoto hawafunzwi lugha zao za asili.
Kuna wajinga wengine wanadhani kujua lugha ya asili ni ushamba au ukabila vp kujua lugha za kigeni sio upagani wa kitamaduni?
Halafu why wachaga wengi hawaipendi lugha yao? Yaani hawapendi kuongea lugha yao sana huwa wanaona haya.
Kuna wengine hadi huwa wanajidai Waswahili hawataki wajulikane kama wanajua lugha yao.
Kuhusu watoto kutofunzwa lugha yao na kutoongeleshwa lugha yao Wachaga na Wameru na waarusha jiandaeni kwa anguko la kabila lenu miaka michache tu ijayo.
#sosad
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu nitagKiarusha ndio lugha gani?
.....Kuna kabila la Waarusha nchi hii?
Za jioni humu JF

Aisee, umeongea kweli kabisaZa jioni humu JF

Akikujibu nitag
Sio kweli mkuu kichaga ni kimoja ni lahaja tu kama kilivyo kiswahili cha unguja,pemba,mombasa,lamu,tanga,na darSawa kabisa pia kumbuka hakula lugha ina itwa kichaga bali kuna Kimachame, Kiuhuru? Kimarangu, Kirombo, n.k. Zaidi zaidi wachaga wanaolewa sana na makabila mengine hasa Kanda ya Ziwa hivyo ni kweli watapoteza asili yao soon!
Chuki zako ni bure tuHakuna watu wasenge kama wachaga na hao wameru
Trust me 4 that point
Lakini moshi na arusha hali ni mbayaTusijidanganye eti lugha za makabila zitapotea. 70% ya waTZ wanaishi vijijini na wanafyatua kwelikweli. Ukienda shule za misingi ni vilugha tu (hasa Manyara, Wasukuma wote, Kigoma, Singida, Tanga, Wapate). Hao wanaozaliwa mijini mara nyingine wanaoa na kuolewa na waliotoka vijijini hivyo uwezekano wa kupotea ni mdogo.
Za jioni humu JF
Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha miaka michache ijayo watapoteza lugha zao asili. Hapa nagusia haswa Wachaga na Wameru na waarusha
Hizi jamii hazipendi kufundisha watoto wao haswa wa kizazi hiki lugha ya asili na ni nadra sana kukuta watoto wa kichaga na kimeru na kiarusha wakiongea lugha yao kwa sasa
Nyumbani ni mwendo wa kuongeleshwa Kiswahili tu na baadhi ya wazazi Kiingereza
Hii ni tofauti na zamani katika jamii hizo, tutarajie miaka ijayo hiyo lugha yao kufa kabisa maana watoto hawafunzwi lugha zao za asili.
Kuna wajinga wengine wanadhani kujua lugha ya asili ni ushamba au ukabila vp kujua lugha za kigeni sio upagani wa kitamaduni?
Halafu why wachaga wengi hawaipendi lugha yao? Yaani hawapendi kuongea lugha yao sana huwa wanaona haya.
Kuna wengine hadi huwa wanajidai Waswahili hawataki wajulikane kama wanajua lugha yao.
Kuhusu watoto kutofunzwa lugha yao na kutoongeleshwa lugha yao Wachaga na Wameru na waarusha jiandaeni kwa anguko la kabila lenu miaka michache tu ijayo.
#sosad
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji102][emoji102]kiongozi jazia nyama tuweze kuwa pa1.Hakuna watu wasenge kama wachaga na hao wameru
Trust me 4 that point
Tuombe radhi mkuu hii sii uungwana kabisa.Hakuna watu wasenge kama wachaga na hao wameru
Trust me 4 that point
KimasaiKiarusha ndio lugha gani?
.....Kuna kabila la Waarusha nchi hii?
Akikujibu nitag
Kumbe!!Kimasai
Ndo manake... Sisi tulioko huku tunakiita kiarusha hila nyie wa huko mnakiita kimasai.Kumbe!!