Kichaga na lugha za asili kaskazini kutoweka miaka kadhaa ijayo

Inaonekana kabisa huijui jamii ya kichaga! Niambie Mmarangu na Mrombo wanaelewana kwa lugha? Wanasalimianaje?
Tena mmarangu na mrombo hawa wanaelewana vizuri tu achilia mmachame na mrombo ambao huwezi msema mwenzake

Mchaga haijalishi ni wa wapi hawezi msema mwenzie hata kidogo bila kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kirombo salamu "Habari yapho" kimarangu salamu "shimbony shapho" kuna muingiliano gn apo wakati ata salamu tuu zinaatofautiana
Tena mmarangu na mrombo hawa wanaelewana vizuri tu achilia mmachame na mrombo ambao huwezi msema mwenzake

Mchaga haijalishi ni wa wapi hawezi msema mwenzie hata kidogo bila kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
idadi hiyo ya silimia sabini kumbuka inapungua kwa kasi kwasababu vijiji vinakuwa miji na miji inakua kasi kiidadi kuliko vijijini
pia vijiji vingi vinaongea kiswahili siku hizi, ni vijiji vya milimani sana kusiko na maendeleo ndio lugha za asili huongelewa ila koye kuliko fika shule, dini, barabara na masoko kiswahili ndio kinatawala, kwahiyo kweli miaka kama kumi ama ishirini kiswahili ndio itakuwa lugha pekeea ya watanzania
 
Mkuu

Inaanza huko,and then all of Tanzania will lose ethnic languages.

Na hii ni makusudi,they want to make TZ a homogenious society,yaani kabila moja which is not true.

Tunapoteza heritage zote,sio lugha tu....lugha ni 1% tu...

Halafu kuna mapumbavu yanachekelea kama majuha!

Shame on all of us.
 
Ili kupiga vita ukabila
Vizuri kabisa hizo lugha zipotee
 
Wa=Tanzania siyo wabunifu kwa sababu ya jambo dogo sana wanashindwa kulifanyia utafiti

Haya makabila haya tuyaunganishe yooote kila kabila walete neno lao mojamoja kwenye kabila kuu Kiswahili makabila 120 tuunganishe herufi moja moja tupate jina la kabila/ japo jina litakuwa reefu sana lkn litaeleweka maana ndiyo sisi tu Duniani wa kuwa na jina reefu! hata km wengine watafuata lkn sisi tutakuwa wa kwanza. wataonekana wameiga tu
 
acha zife kibantu kitamalaki sisi ni wabantu bana..siyo arusha huko kaskazini tuu!! Barani Africa ukabila unaishaaaaa! ni Bantu swahili kwenda hukoo ili siku turudi kwetu israel kwa Lugha moja ya Kiyahudi cha kale alichoongea yesu ndo kibantu cha leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…