Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Wasalaam Wakuu.
Kila leo ubunifu wa aina mbalimbali jinsi wasanii wanavyowasilisha kazi zao kwa hadhira inazidi kuongezeka.
Kuna Msanii maarufu kwa jina la 'Kicheche', ana namna yake ya kipekee ya uwasilishaji. Kiukweli anajitahidi sana na watu wengi wanamuelewa.
Amefanya aina nyingi za kazi zake, ila baadhi za zilizonikosha ni 'Mwajuma Komwe', 'Mbwa Baba Mkwe' na 'Upwiru Unanikaba Koo'.
Ana kibwagizo chake cha 'Mbwa Mimi, kumbafu zako'. Na kicheko chake kinachochekesha.
Ukimuangalia bila kucheka basi tambua kiwango chako cha Stress kipo juu sana na unahitaji usaidizi wa Wataalam..