Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanjamii..naombeni msaada wenu,nasumbuliwa sana na hali ya kichefuchefu hususani nikiwa ndani ya daladala na baada ya kula,nimetumia dawa mbalimbali bila mafanikio,naombeni msaada..Mimi ni WAKIUME.
Dah....Umejaribu kupanda taxi mkuu?Habari wanjamii..naombeni msaada wenu,nasumbuliwa sana na hali ya kichefuchefu hususani nikiwa ndani ya daladala na baada ya kula,nimetumia dawa mbalimbali bila mafanikio,naombeni msaada..Mimi ni WAKIUME.