bet master
Senior Member
- Sep 5, 2014
- 101
- 23
habari wakuu yani kila nikiamka asubuhi nasikia kichefuchefu balaa mpaka natapika pind napopiga mswaki,so asubuhi sili kabisa mchana nakula kidogo mno usiku kidogo najitahidi,sasa madokta nifanye nini nmepima sina ugonjwa vyote negative yani mpka kamwili kanapungua my age is 23yrs ,mimi ni me .na nkiamka asubuh lazma niend haja kubwa na kinakuwa laini sana mpka naogopa..ambacho sio kawaida kwangu kwenda asubuh sasa hali hii ina kama wiki na nusu