Kichefuchefu na kukuosa hamu ya kula vinanitesa jamani

bet master

Senior Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
101
Reaction score
23
habari wakuu yani kila nikiamka asubuhi nasikia kichefuchefu balaa mpaka natapika pind napopiga mswaki,so asubuhi sili kabisa mchana nakula kidogo mno usiku kidogo najitahidi,sasa madokta nifanye nini nmepima sina ugonjwa vyote negative yani mpka kamwili kanapungua my age is 23yrs ,mimi ni me .na nkiamka asubuh lazma niend haja kubwa na kinakuwa laini sana mpka naogopa..ambacho sio kawaida kwangu kwenda asubuh sasa hali hii ina kama wiki na nusu
 
nilidhani ni ke, ila jaribu nosic ni dawa nzuri.
Niliitumia nilivyokuwa mama kijacho na ilinipa matokeo mazuri.
Kichefu chefu kiliacha na nikawa nakula kama kawaida
 
nilidhani ni ke, ila jaribu nosic ni dawa nzuri.
Niliitumia nilivyokuwa mama kijacho na ilinipa matokeo mazuri.
Kichefu chefu kiliacha na nikawa nakula kama kawaida
ooh k bas ntaitafuta
 
Ulipima mkojo mkuu, samahani though umesema umepima magonjwa yote ni negative
 
umemtaarifu mumeo au hawara wako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…