Kichekesho cha beki ghali duniani Maguirre

Kichekesho cha beki ghali duniani Maguirre

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
4,155
Reaction score
11,168
Unaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani.

CR7 anataka top four,maguirre hataki.

De Gea anamuogopa huyu beki zaidi ya washambuliaji wa timu pinzani.

Katika hii picha hapa chini ameamua kuapply kile anachokifanya kwenye mazoezi.

Pogba alikula kiatu cha uso.
FB_IMG_1650180174121.jpg
 
View attachment 2190512
Pogba alipigapiga chini kama mcheza mieleka hivi bam! Bam! Bam!!😂😂😂😂
 
Tatizo alilonalo Magwaya binadamu yeyote linaweza kumtokea,

Magwaya amepata bahati mbaya kichwa kuendelea kukua Hadi kimeuzidi balance mwili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe jamaa,unataka kuniua huku,kila nikimkumbuka huyu jamaa nacheka sana
Tatizo alilonalo Magwaya binadamu yeyote linaweza kumtokea,

Magwaya amepata bahati mbaya kichwa kuendelea kukua Hadi kimeuzidi balance mwili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inawezekana jamaa anavyoandamwa na kusemwa sana anapoteza confidence, hiyo inaweza kumtokea binadamu yeyote.

Siamini kama jamaa hana kiwango, mbona, kule Leicester alikuwa anaupiga mwingi?

Kwenye maisha ukishapoteza kujiamini tegemea mambo yako mengi yatakwenda kombo.
 
Huyu ndio beki kisiki wa England.... tatizo mashabiki wanamponda Sana mpaka anashindwa kujiamini.
 
Hivi erik bailly alienda wapi au ni majeruhi.
 
Kwa hela aliyonunuliwa Pauni Milioni 80, bila kupepesa macho naweza kusema Harry Maguire ni the worst Man United signing ever
 
Back
Top Bottom