Pogba alipigapiga chini kama mcheza mieleka hivi bam! Bam! Bam!!😂😂😂😂Unaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani.
CR7 anataka top four,maguirre hataki.
De Gea anamuogopa huyu beki zaidi ya washambuliaji wa timu pinzani.
Katika hii picha hapa chini ameamua kuapply kile anachokifanya kwenye mazoezi.
Pogba alikula kiatu cha uso.
View attachment 2190512
Tatizo alilonalo Magwaya binadamu yeyote linaweza kumtokea,
Magwaya amepata bahati mbaya kichwa kuendelea kukua Hadi kimeuzidi balance mwili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahahaUnaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani.