Kichekesho cha wasanii bongo

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,024
Reaction score
688
Baada ya Diamond kupata mafanikio kupitia lebo yake ya WCB sasa nimesikia kwenye redio Alikiba akisema ana lebo yake inaitwa king record amesajili baadhi ya wasani mama Jokate, Dimpoz any skz na Abdul Kiba.

Na Baraka deprince ameanzisha lebo yake na tayari amesajilu wasanii mama Najma na wasanii wengine wa Mwanza
Nikabaki nacheka bongo apaishi vituko
 
Mkuu unashangaa nini? hujui kama Diamond Platnumz ndio role model wao?

Baraka da prince mwenyewe anakwambia babayake alimuunga mkono suala la usanii baada ya kuona mafanikio ya Dangote, na huyo Mfalme wa kariakoo aliamka usingizini baada ya kuona Dangote anatusua kila kukicha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wallah siku diamond akifa na watu wataigiza kufa ili wagawane kiki na Marehemu[emoji23][emoji23]..

Maana watu wamepaniki mbayaaa...Diamond imemchukua miaka zaidi ya 5 kuijenga WCB mpaka leo ikawa imesimama imara kabisa..

Lazima ujenge misingi kwanza yakudumu ndipo uanzishe Label,wasanii wengi wanafanya vitu kwasababu wanaviona na sio kwasababu walijenga misingi ya vitu hivyo..

Diamond amejipanga haswa,ndio maana kila Attack linaloikuta WCB haitetereki!!bado inasimama imara na inazidi kung'aa..

Sasa hiyo ni label au umoja wa marafiki?![emoji38]..mtu kama Abbyskills atakuletea faida gani zaidi ya hasara?!mtu ameshajichokea huko,keshazeeka mwenyewe...au Abdu Kiba!hana kipaji chochote kwenye muziki,hajui kuimba wala kucheza,anaimba tu kwasababu amemuona kaka yake Ali anaimba basi na yeye akaona bora atumie jina la Baba,Hapo kiba anapoteza hela tu..

Halafu Ommydimpozi wala sio mtu wa kumwamini ukasema umweke kwenye Label yako...siku mukikorofishana tu basi anahamia label nyingine na Matusi juu...Ukiona rafiki yako uliyenae anatoa siri za Rafiki yake aliyepita basi jua na wewe ipo siku atatoa siri zako pindi mutakapomaliza urafiki wenu[emoji38][emoji38]..

Kiba asifanye vitu kwa presha ya Diamond,ajipange kwanza!!Siku uhusiano na Jokate ukiisha basi na Label inapoteza mtu[emoji38]..
 
Absolutely [emoji106] [emoji123]
 
Diamond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasamehe wenzio wataiga hadi ku...... Hahaaaa vyuma vimekaza hakuna namna lazima wakuige tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diamond ndo wakwanza kuanzisha lebo Tanzania na Dunia mpaka ionekane ajabu
 
Mama Najma nae ndaniiiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Diamond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasamehe wenzio wataiga hadi ku...... Hahaaaa vyuma vimekaza hakuna namna lazima wakuige tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Diamnd mwenyewe kaiga label zipo kitambo hata G Records ya marehem Roy ilikuepo.
Na hata kabla ya hapo zilikuepo.Hajaanzisha huyu fraudster wa views hajazaliwa.
 
NI UPEPO TU...HATA LIVE BAND WALIANZISHA WENGI
 
Nachompendea Mondi ni tathmini na maandalizi anayofanya kabla hajaamua kufanya jambo ili akija kulifanya afanye kwa uhakika, Hongera Kiba ka umedhamiria utafika unapopataka.
 
Label zipo kitambo kabla hata Domo hajaanza kuuza mitumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…