KICHEKESHO KIPI KILA SIKU HUWA KIPYA KWAKO?

KICHEKESHO KIPI KILA SIKU HUWA KIPYA KWAKO?

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,822
Reaction score
2,320
Naanza namimi

MKOSI NI NINI?!!
*MKOSI ni pale baba yako anafanyakazi ya bodaboda hlf ww unagoma kwenda shule eti unaumwa hlf unampigia demu wako aje home demu anaamua kuchukua boda analetwa na baba yako,wanafika mpaka home kademu kanakupigia cm kanakwambia njoo ulipe nauli ya boda,nipo hapa nyumbani kwenu nje.unatoka unakuta ni mzee ndo kamleta,. hapo ndo utakapojua kwanini wimbo wa taifa hauna video*😂😂😂
😀😀😀😀😀😀😀
 
Huwa saa zote natabasam pekee anguu??
Mama:Gonzalo...!!!
Gonzalo:Naam..
Mama:Njoo umsalimie mjomba wako
Gonzalo:Shikamoo
Mjomba:Malahaba..Aaa umekua Gonzalo...unanikumbuka?
Gonzalo:Hapana ckukukmbuki et
Mama:Haumkumbuk mjomba ako Amani? aliondokaga wakat unamiez miwili(unanyonya).anaishi Lilongwe Malawi saiz
Mjomba:Ni mda sana niliondoka kukumbuka co rahisi
Mama:Watot wa ckuiz wanamambo mengi ya kjnga jinga kumbuka vya nyuma ni tatzo
Gonzalo:😨😨😨😨
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha
Hatari sana miezi miwili?
 
Roho inauma pale ambapo unaamua kwenda darasa la rafki yako kufuata umbea Mara unaskia mwalimu anaingia anasema wote laleni cheni monta kalete fimbo
Ha ha ha ha ha ha ah haaaa
 
Back
Top Bottom