KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Ha ha ha ha ha ha ha haHuwa saa zote natabasam pekee anguu??
Mama:Gonzalo...!!!
Gonzalo:Naam..
Mama:Njoo umsalimie mjomba wako
Gonzalo:Shikamoo
Mjomba:Malahaba..Aaa umekua Gonzalo...unanikumbuka?
Gonzalo:Hapana ckukukmbuki et
Mama:Haumkumbuk mjomba ako Amani? aliondokaga wakat unamiez miwili(unanyonya).anaishi Lilongwe Malawi saiz
Mjomba:Ni mda sana niliondoka kukumbuka co rahisi
Mama:Watot wa ckuiz wanamambo mengi ya kjnga jinga kumbuka vya nyuma ni tatzo
Gonzalo:π¨π¨π¨π¨
Ha ha ha ha ha ha ah haaaaRoho inauma pale ambapo unaamua kwenda darasa la rafki yako kufuata umbea Mara unaskia mwalimu anaingia anasema wote laleni cheni monta kalete fimbo